SHERIA YA TAALUMA YA USTAWI ITAWAKOMBOA MAKUNDI MAALUM – WAZIRI DKT. GWAJIMA

Na Wizara ya Afya Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum  Dkt. Dorothy Gwajima amesema Sheria ya Ustawi wa Jamii ikiundwa itarahisisha Uratibu wa utetezi wa haki za Makundi maalum. Waziri Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa Chama cha Maafisa Ustawi wa Jamii(TASWO) jijini Dodoma Oktoba 26,